Tanzania

Welcome
At EEA we’re committed to powering a brighter future. We believe in the transformative power of solar energy to illuminate lives, businesses, and communities across Tanzania.
As your trusted partner in sustainable energy solutions, we offer a wide range of innovative solar products designed to meet your unique needs. Whether you’re a homeowner seeking to reduce energy costs, a business owner looking to optimize energy consumption, or a community leader striving for energy independence, we have the right solution for you.
Our team of dedicated experts is passionate about delivering exceptional service and ensuring customer satisfaction. We’re here to guide you through every step of your solar journey, from initial consultation to installation and beyond.
Join us in embracing a sustainable future. Explore our website to learn more about our products, services, and initiatives.
Sincerely,
MUGAMBI Godfrey
Country Director
The Culture
Tanzania, a land of stunning natural beauty, boasts diverse cultures, breathtaking landscapes, and rich wildlife. Its history traces back to ancient civilizations, German and British colonial rule, and a journey to independence. Tanzania is home to iconic landmarks like Mount Kilimanjaro, the Serengeti National Park, and the Ngorongoro Crater, offering unforgettable wildlife experiences. Its vibrant cities, including Dar es Salaam and Zanzibar, blend traditional African culture with modern influences.
Pata Bidhaa Zetu

MySol Neo
Kwa Siku 610/=
- Paneli 10W
- Taa 3
- waya za kuchajia simu

Kifurushi cha Msingi 80W
Kwa Siku 2,499/=
- Taa 3
- 50 Ah controller
- Paneli
- Wiring

Kifurushi cha Msingi 120W
Kwa Siku 2,720/=
- Taa 3
- 50 Ah controller
- Paneli
- Wiring

Kifurushi cha Msingi 200W
Kwa Siku 4,190/=
- Taa 3
- 100 Ah controller
- Paneli
- Wiring

Kifurushi kamili cha 80W TV 24"
Kwa Siku 3,565/=
- Taa 4
- 50 Ah controller
- Paneli
- 24" TV
- Redio
- Tochi na nyaya za kuchajia simu

Kifurushi kamili cha 120W TV 32”
Kwa Siku 4,285/=
- Taa 4
- 50 Ah controller
- Paneli
- 32" TV
- Redio
- Tochi na nyaya za kuchajia simu

Kifurushi kamili cha 200W TV 42"
Kwa Siku 6,360/=
- Taa 4
- 100 Ah controller
- Paneli
- 42" TV
- Redio
- Tochi na nyaya za kuchajia simu

OFA! Azam Plus Mpaka Miezi 3 Bure
Wiki 2,870/=
- Lipa Dish na Kisimbuzi (Cam Card) kwa bei ya punguzo kwa kulipia kidogokidogo hadi mwaka mmoja umiliki
- Chaneli 95+
Jiunge na familia ya ENGIE Energy Access! #TimuMoja
Jiunge nasi katika dhamira yetu ya kuboresha maisha Afrika na suluhisho la nishati safi ya jua, nafuu na bunifu.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Ni nini tofauti kati ya bidhaa za Mobisol, Fenix na MySol?
MYSOL ni jina jipya la brand ambalo litachukua nafasi ya kile kinachojulikana leo kama Fenix au Mobisol.
Kufuatia muungano wa Fenix International, Mobisol na PowerCorner kuunda ENGIE Energy Access, kampuni imejenga wigo mpana zaidi wa bidhaa mbalimbali kwa kuleta pamoja bidhaa kutoka Fenix na Mobisol.
MYSOL inaendelea kukupa bidhaa zenye ubora wa hali ya juu unazozijua na kuziamini.
Napataje mtambo wa sola?
Mara tu unapoamua kununua mtambo wa sola, timu yetu ya mauzo itachukua taarifa zako za mawasiliano.
Baada ya hapo utapokea simu ya tathmini ya mteja kwa kwa ajili ya uthibitisho wa uwezo wako wa kuulipia mtambo unaohitaji kununua
Je! Nitalipiaje mtambo wangu?
Malipo hufanywa kwa urahisi kwa njia ya simu kupitia Vodacom, Airtel, Tigo au Halotel.
Nini Kinatokea kama sitoweza kulipia mtambo wangu?
Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi: Tunaelewa kuwa kuna wakati ambapo changamoto za kifedha zinaweza kutokea
Tutawasiliana nawe kuelewa changamoto yako na kukushauri ipasavyo ili kukubaliana namna ya kudhibiti mpango wa malipo.
Nitamiliki mtambo wangu baada ya kumaliza malipo ya mkopo?
Ndio! Utakuwa ni mmiliki kamili mwenye uhuru wa mtambo wako wa sola baada ya kumaliza malipo yako yote ya mkopo.
Nifanye nini ikiwa mtambo wangu haufanyi kazi?
Ikiwa mtambo wako haufanyi kazi, unaweza piga simu kwa huduma kwa wateja BURE kupitia 0800 755 000 kwa msaada”
Ikiwa tatizo katika mtambo wako haliwezi kutatuliwa kupitia maongezi ya simu, tutapanga moja ya mafundi wetu afike nyumbani kwako, atambue tatizo, na kisha kulitatua hapo hapo nyumbani kwako na kukupatia ushauri kuhusu marekebisho yeyote ya muhimu.
Ninaweza kupata pesa na mtambo wangu?
Ndio! mitambo yetu inakuwezesha kupata kipato cha ziada. Kwa mfano, kuwachajia simu wanao kuzunguka au kuonyesha mechi za mpira kwa kutumia runinga yetu kubwa ya sola.
Pia tunawazawadia kati ya Tshs 41,000 hadi Tshs 104,000 wateja wetu wanaopendekeza/shauri ndugu, jamaa, na marafiki kununua na kumiliki mitambo yetu ya sola.
Mteja yeyote atakayenunua mtambo wetu kutokana na ushawishi na ushauri wako, basi utajipatia kati ya Tshs 41,000 hadi Tshs 104,000
Je, naweza kupata mtambo mkubwa zaidi?
Ndio ni rahisi
Wasiliana nasi kwa kutumia namba yetu ya bure au wakala wetu yeyote wa mauzo.
Tutapitia tarifa zako za kipato kujua kama unafuzu kupata mtambo mkubwa zaidi.
Baada ya kufuzu, utalipa ada ya kubadilisha mtambo ya Tzh 65,000 na kianzio kilichopunguzwa.
Nenda kwenye duka letu lolote lilipo karibu yako ili upate mkataba mpya na ukabidhiwe mtambo wako
Makao Makuu Tanzania
ENGIE Energy Access – Tanzania
Plot Taso/G/448
Nane Nane Grounds, Arusha
Tanzania